Ndugu zangu,
Mojawapo ya mambo ambayo nayafanya huku ughaibuni ni kujaribu kwa hali na mali kulitetea bara la Afrika kwa hali na mali. Hivyo kila mara mimi hujishughulisha na mtandao wa kujitolea uitwao Africa Files ambao watu wake wamejikita katika kutetea haki za binadamu, uhuru wa kiuchumi, masuala yote ya kijamii na mchanganuo endelevu kuhusu bara zima la Afrika. Kwa habari zaidi soma hapa.
Fanya kweli, Endelea