Tarehe: 3:06:00 PM, Mtoa Maoni:- Mjengwa
Tarehe: 12:11:00 PM, Mtoa Maoni:- Chemi Che-Mponda
Tarehe: 6:22:00 AM, Mtoa Maoni:- mwandani
Haya mambo ya kupewa adhabu bila kesi wala mashauri, mambo ya kutishana na kuogopana sijui yatakwishaje...
Kwa vyovyote vile askari hana haki ya kumgaragaza raia kwenye matope au kumrusha kichura raia kama inavyoonekana hapo kwenye hiyo filamu.
Lakini kitu kimoja ambacho nimeshindwa kuelewa - ambacho filamu hii haikuleza - ni mazingira gani yaliyopelekea askari wale kutangaza dharura kama vile.
Tarehe: 8:19:00 PM, Mtoa Maoni:-
Chemi,
Sinema ya YombaYomba niliiona miaka mingi sana iliyopita lakini imebakia kuwa mojawapo ya sinema nilizowahi kuzipenda sana.Sijui cd/dvd zake zinapatikana wapi na wala kama zipo.Nitajaribu kuuliza zaidi kwa sababu ningependa sana kuwa na copy.
Mwandani, hiyo ilikuwa ni Zanzibar wakati wa uchaguzi ulee uliokuwa na vurugu kubwa.Kwa namna yoyote ile,hakuna justification ya hiki wanachokifanya ffu katika video hii.Lakini kama ujuavyo,aliye juu siku hizi,ni vyema kumfuata huko huko.
Tarehe: 1:36:00 PM, Mtoa Maoni:-
Mh! Huo pia ni upande wa pili wa sarafu!