VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Tuesday, November 06, 2007
UNATAKA KUUA SIMBA? KARIBU TANZANIA

Utalii ni mojawapo ya vyanzo muhimu sana vya mapato vya serikali yetu ya Tanzania.Mbuga zetu za wanyama ni fahari yetu na majaaliwa aliyotupa mwenyezi mungu. Lakini ili tuendelee kuwa na wanyama hao ambao ndio chambo cha biashara ya utalii,hatuna budi kuwatunza kama sio kuwalinda. Wenzetu

Kenya wao hawaruhusu uwindaji wa wanyama.Kwetu sisi rukhsa,hela yako tu.Tunakupa bunduki,wachuna ngozi na watu wa kukuongoza msituni ukamuue simba,swala,pundamilia na takribani mnyama yeyote unayetaka! Hata kama unaweza kumuua kama vile "morani" wa kimasai poa tu. Soma habari kamili kwa kubonyeza hapa.

 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 10:24 AM | Permalink |


Maoni: 6


 • Tarehe: 12:11:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger mloyi

  Pesa yako tuu kuua simba.
  Banjuka tuu! Maisha yenyewe ni mafupi inabidi
  inabidi kujirusha tuu
  baa baa banjuka tuuuuuu...
  Wa nini hao simba iwapo maisha yataisha karibuni tuu. Inawezekana vizazi vijavyo visiwepo au wasiwahitaji hao simba. Acha tujipatie mahela kabisa sasa.
  Point ya kuishia, Tujiulize, hivi ulaya hakukuwa na simba? wako wapi sasa? Na tuishi9e kwa kujiuliza, hivi hawa simba watahitajika na vizazi vijavyo?
  Maisha tuyarefushe.

   
 • Tarehe: 8:27:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Christian Bwaya

  Hapo umenifanya nikubaliane na wale wanaosema kwamba tatizo la nchi yetu liko mahala pengine kabisa pasipoonekana kwa urahisi. Inawezekana ikawa ni akilini. Sina hakika ila ninadhani tunalotatizo kubwa la kushughulikia haraka sana kabla mambo hayajaenda mrama.

   
 • Tarehe: 12:03:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Reggy's

  Mkuu nimepita Nimekuta bado upo. Kaza buti mzee. Sie tunajikongoja

   
 • Tarehe: 6:43:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  UA UA TUUUU MAREKANI WAO WALIPO KUWA WANATAKA KUNDENLEZA KILIMO WALIWAUA NYATI KWA NDEGE ZA KIVITA TENA NA MABOMU. HAHA UA TUU UA KILA KITUUU MBUGAANIII

   
 • Tarehe: 4:41:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger poker

  PROMO DELIMA
  poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

  Bonus yang kami sediakan :
  * TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
  * Bonus referal sebesar 10%

  Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
  Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
  Come join and be a winer with us !!

  Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
  Livechat_____: delimapoker
  BBM__________: 7B960959
  Facebook_____: Facebook
  Phone number_: +85595678845
  pendaftaran___http://www.delimapoker.com/?ref=19860605

   
 • Tarehe: 11:42:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Jack Smith

   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker