VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Thursday, August 25, 2005
UNAFUATILIA YA LIBERIA?
Wakati Tanzania inakaribia kwenda kwenye gulio la kuchagua washika mstakabali wa nchi kwa miaka mingine mitano taifa la Liberia nalo pia lipo kwenye changamoto ya aina yake. Mwanasoka mashuhuri barani Afrika na Ulaya, George Weah ameamua kuyavulia nguo maji.Anasema sio lazima kuwa na makaratasi ya digrii ili kuongoza nchi.Uzalendo tu unatosha. Umaarufu utamsaidia? Unakumbuka enzi zile (1995) ambapo Keneth Pius Mkapa wa Yanga alikuwa na umaarufu na kujulikana zaidi ya mgombea wa uraisi wa wakati ule Benjamin William Mkapa? Soma zaidi hapa.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 3:02 PM | Permalink |


Maoni: 1


  • Tarehe: 12:51:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Ndesanjo Macha

    Hii ya Ken Mkapa na Benjamin Mkapa imenikumbusha wakati wa mkutano wa jinsia kule Beijing. Watu wengi walikuwa wakimjua na kujali habari za Zamoyoni Mogella kuliko Mama Getrude Mongella aliyekuwa mwenyekiti wa mkutano huo!

     
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker