Wednesday, September 07, 2005
Ndesanjo,haya ni ya kweli?
Mwanablog mwenzetu Ndesanjo Macha hivi sasa anahudhuria mkutano wa Helsinki 2005.Wakati tukitarajia mengi kutoka huko aliko nimepata habari kama hii kwenye chambuachambua yangu ya vyombo vya habari vya nyumbani Tanzania. Nadhani wote tungependa kujua ukweli juu ya hili na nini hasa chanzo? Je,raisi wetu ni raisi wa watu wenye uwezo au utashi wa kuvaa namna fulani tu na sio wengine? Mkuu wa itifaki wa ubalozi wetu hapo Finland ni nani?Ndesanjo naomba usisahau hili la mila na desturi tafadhali.
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 7:00 PM
|
Permalink |
-
Jeff your website was cool and understanding
Jeff your website was cool and understanding