VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Monday, October 03, 2005
UNENE DILI AU SIO DILI?
Katika zile makala zangu za kila jumapili kule Tanzania nimewahi kuandika kuhusu tofauti ya kimtazamo juu ya unene na wembamba baina ya Afrika na nje ya Afrika.Wakati huku katika nchi za magharibi unene ni ugonjwa katika sehemu nyingi za bara la Afrika unene ndio mambo yote.Ukiwa mnene utapewa kila aina ya heshima.Ukiwa mwembaba kikiibiwa kitu halahala kama hujaambiwa ni wewe,mwenzako mnene atapeta tu.Hapa Canada kwa mfano ukinenepeana watu wanakuonea huruma,kwa maana unaumwa wewe.Hebu soma kisa hiki kutoka huko Mauritania.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 7:15 PM | Permalink |


Maoni: 2


  • Tarehe: 5:29:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Ndesanjo Macha

    Suala la unene limenikumbusha jamaa yangu mmoja kule Moshi ambaye alikuwa akipata huzuni sana mara kitambi chake kinapopungua! Na jamaa mwingie aliyeshangaa kuwa nimetoka Marekani bila kitambi!

     
  • Tarehe: 5:31:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Ndesanjo Macha

    Nimesahau, ukipata wasaa uwe unatuwekea makala hizo...ikiwezekana.

     
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker