VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Monday, November 28, 2005
SERIKALI TAWALA YA KANADA YAPIGWA MWELEKA!
Katika zile makala zangu za kila jumapili kule Tanzania nimewahi kuwakumbusha wananchi wenzangu kwamba umuhimu wa siasa za vyama vingi sio tu kushinda kiti cha uraisi.Siasa(ingawa zimejaa uongo) zinapendeza zaidi pale bunge linapokuwa na viti vingi vya upinzani kukizidi chama tawala.Si mnakumbuka enzi za Bill Clinton hapo Marekani?
Basi utamu huo wa siasa umejitokeza leo hapa Canada baada ya serikali tawala kupigwa mweleka kufuatia kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na vyama vya upinzani.Kwa maana hiyo bunge nalo litavunjwa na uchaguzi utafanyika siku chache zijazo. Kwa habari zaidi jisomee hapa (samahani kwa wale wasiotumia kimombo)kisha tukumbushane kwamba kule Tanzania tunachohitaji hivi sasa sio lazima iwe ni raisi kutoka upinzani bali bunge lenye viti vingi vya upinzani.Hapo tutakuwa tumetia gavana zile bajeti,sheria na nini sijui zilizojaa ujinga lakini zinapita hivi hivi. Kuna mtu angethubutu kuuziana nyumba za serikali kama kungekuwa na wabunge wengi wa upinzani?Au sio?
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 9:10 PM | Permalink |


Maoni: 2


 • Tarehe: 1:22:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Boniphace Makene

  Thanks Jeff, kwa habari hii nilikuwa nyuma kujua yaliyotokea huko. Nashukuru pia kuwakumbusha Watanzania juu ya kupata wabunge wa upinzani maana uchafu wa shida zote nchini pale unatokana na Bunge dhaifu linalofanya kwa misingi ya kuogopa serikali iliyopo. Bunge imara na hasa lililojaa wapinzani laweza kuleta mabadiliko makubwa hasa kuhusu mikataba feki. Nimefurahi pia kunikumbusha kipindi cha Clinton maana Bunge lile lilimfanya achacharike kufanya kazi hadi akafikia kupata Bajeti yenye zero defecit.

   
 • Tarehe: 7:18:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger mark msaki

  Sawa kabisa bwana jeff. ninashukuru kwani nimefikia kujua kuwa kwa nanma hii ya blogu, mtandao wa kuelimishana na kuimarishana na hususani kwa wenzetu ambao wamenyimwa/hawajapata fursa ya kufunguka macho watapata fursa hiyo na kwa jinsi ambavyo wameendelea kuipata kwa makala zenu mnazoandika kule kwa magazeti ya nyumbani! ni jambo jema kwa ajili ya ukombozi wa the tanzanian church!

  mark

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker