Wednesday, December 14, 2005

TATIZO LA KIUFUNDI

Kama wewe ni mtembeleaji wa huu uwanja wangu mara kwa mara utakuwa umeshagundua kwamba ina mabadiliko.Kwa bahati nzuri au mbaya mabadiliko hayo hayakufanyika kwa mapenzi yangu.Kuna tatizo la kiufundi ambalo lilitokea na ambalo kwa kweli lilikuwa nje ya uwezo wangu kurekebishika.Nikaona isiwe tabu.Kwa maana hiyo napenda kusema samahani kwa usumbufu wowote.Tunaendelea kubonga bongo kama kawaida!

2 comments:

  1. Greetings from south of the border.

    ReplyDelete
  2. Phabian,
    Labda ungenifafanulia zaidi juu ya tatizo lako la kiufundi ili nijue jinsi ya kulitatua.Lakini kama ni kupost hebu jaribu tena uone kama bado unapata shida hiyo hiyo.Unaweza pia kunitumia kwenye email yangu jeffmsangi@sympatico.ca.

    ReplyDelete