HERI KUFA MACHO KULIKO KUFA MOYO!

YESTERDAY HAS GONE FOREVER!TOMMOROW WILL NEVER ARRIVE,BUT TODAY IS YESTERDAY'S TOMMOROW WITHIN YOUR REACH.WHAT ARE YOU DOING WITH IT?

Friday, February 06, 2009

UNA WAZO ZURI?WAAMBIE WENZAKO!

›
Kila siku mimi hupenda kupitia tovuti mbalimbali.Huwa napitia takribani tovuti mia mbili kila siku.Lakini ninavyozipitia mimi ni kwa kutumia...
23 comments:
Wednesday, December 31, 2008

KHERI YA MWAKA MPYA

›
Ingawa hatujaonana hapa kijiweni kwa muda kiasi,natumaini kwamba hujambo na Mungu amekujalia kuuona mwaka huu wa 2009 ukiwa mwenye siha njem...
7 comments:
Sunday, April 27, 2008

MALCOLM X: BALLOT OR BULLET

›
Umeshawahi kumsikia...au japo kulisikia jina lake. Dunia ilikuja kumtambua kama Malcolm X. Sasa kama umeshawahi kuwa na kiu ya kumtambua vye...
6 comments:
Friday, February 08, 2008

HII NDIO BONGO BWANA!

›
Leo siwezi tena kuomba msamaha kwa kutokuandika hapa mara kwa mara.Kama mnataka na mimi nijiuzulu kama waheshimiwa huko Tanzania….we acha tu...
8 comments:
Friday, January 11, 2008

JINSI YA KUIBA UCHAGUZI/KURA

›
Hadithi za chaguzi zisizo huru barani Afrika zinazidi kuwa kama vile hadithi za kila jioni alizokuwa akitusimulia bibi wakati wa utotoni. ...
8 comments:
Wednesday, January 02, 2008

KHERI YA MWAKA MPYA.MAAZIMIO?

›
Kheri ya mwaka mpya msomaji wangu. Nimekuwa kimya kidogo,naelewa.Mambo yalikuwa mengi mwishoni mwishoni mwa mwaka.Familia,watoto,ndugu,jamaa...
9 comments:
Monday, December 17, 2007

PIGANIA UHURU WA KUJIELEZEA

›
Miaka michache iliyopita kulikuwa hakuna blogs. Kama ulitaka kusikika ilibidi utumie mlolongo mrefu sana. Mmojawapo ulikuwa ni ule wa kuandi...
1 comment:
Sunday, November 18, 2007

HAPPY TANZANIA BLOG DAY?

›
Mwaka mmoja uliopita wanablogu wa kitanzania tuliweka historia mpya.Siku kama ya leo,yaani tarehe 18 Novemba 2006 kuanzia saa sita mchana kw...
5 comments:
Tuesday, November 06, 2007

UNATAKA KUUA SIMBA? KARIBU TANZANIA

›
Utalii ni mojawapo ya vyanzo muhimu sana vya mapato vya serikali yetu ya Tanzania.Mbuga zetu za wanyama ni fahari yetu na majaaliwa aliyotup...
9 comments:
Saturday, October 20, 2007

LAZIMA TUWE NA DEMOKRASIA?

›
Swali lililopo kwenye kichwa cha habari hapo juu linaweza kuwa rahisi sana usipofikiria kwa makini. Jibu la haraka haraka ni ndio, demokrasi...
5 comments:
›
Home
View web version

About Me

My photo
Jeff Msangi
View my complete profile
Powered by Blogger.