VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Wednesday, January 04, 2006
HOTUBA YA RAISI KIKWETE HII HAPA
Najua hivi sasa tafakuri ni nyingi vichwani mwa wengi hususani wanablogu wenzangu.Tafakuri hizo zinatokana na kutangazwa kwa baraza la Mawaziri la Raisi Kikwete.Mimi pia nimo katika lindo la mawazo juu ya hili.Lakini wakati hayo yote yanaendelea labda tusome kwa pamoja hotuba ya kwanza rasmi ya Raisi Kikwete kama alivyohutubia bunge.Wengi tuliipenda,sasa swali linakuja kwa baraza hili la mawaziri,je tutafika?Isome hotuba yote hapa.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 1:15 PM | Permalink |


Maoni: 5


 • Tarehe: 5:16:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger mwandani

  Nashukuru utandawazi, kikwete kasema juzi leo yote yapo hapa.Shukran

   
 • Tarehe: 10:22:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger mwandani

  Unajua wanasiasa wametuharibu fikra. Hatuaminiani hata kidogo. Nataka kuiamini hii hotuba lakini naogopa. Sijui kwa nini naona kama vile "ah si mwanasiasa tu huyu, anasema tu siku mbili atasahau" mambo yatakuwa vile vile. Namuombea neema afanye kwel.

   
 • Tarehe: 11:23:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger mark msaki

  mwandani,

  una mawazo kama yangu. ndio maana nilitoa rai kuwa wanaglobu tuisome tuichambue halafu tuelezee yote yawezekanayo pande zite 2 za shilingi.

  cheers

   
 • Tarehe: 11:31:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger mark msaki

  tunashukuru sana kwa hotuba hii. lakini huyu bwana ni charismatic. alikuwa anachombeza pia kutia misisitizo ambavyo havijaandikwa!

  cheers

   
 • Tarehe: 2:42:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Phabian

  Siko mbali sana na wana blogu wenzangu katika swala zima la kuisifu hotuba ya mh rais lakini tukumbuke kwamba hotuba ni mawazo na mtazamo tu wa mtu au watu na utendaji au utekelezaji ni swala nyeti linalo jitegemea.Kwa hiyo kazi bado ni pevu na nimapema mno kulaumu au kusifia.Tumwombee kwa mwenyezi Mungu walau aweze hata kutimiza kiapo chake cha kulitumikia taifa kwa nguvu zake zote.

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker