VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Saturday, January 14, 2006
MICHEZO KWA WOTE!

Mojawapo ya maadhimio yangu ya mwaka 2006 ni pamoja na kuwa naweka kwenye blogu(neno mbadala bado halijapatikana) matukio na maadhimisho mbalimbali yanayotokea duniani kote na zaidi hapa Canada.Hivyo nitakuwa nafuata Kalenda yangu ili niweze kutopitwa na wakati.Nadhani ni vizuri pia kama wanablogu wengine wote mliotanda sehemu mbalimbali za dunia mkawa mnatuletea matukio na maadhimisho kutoka huko mlipo.Hii itatusaidia sote kujua tamaduni,sanaa,siasa,vituko,ndebwe nk kutoka sehemu mbalimbali duniani ili dunia iwe kijiji kama kile nitokacho mimi.
Basi kuanzia jana tarehe 13 mpaka 15 Januari kuna michezo hii hapa kwa ajili ya walemavu hapa Ontario katika mji wa Huntsville.Sina uhakika kama Tanzania ina michezo kama hii kwa ajili ya walemavu.Kama hakuna ni muhimu ikawepo.Kuna haki nyingine za walemavu ambazo nitazizungumzia siku nyingine.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 12:55 PM | Permalink |


Maoni: 1


 • Tarehe: 4:58:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Bwaya

  Msangi,
  Nimesoma habari katika Mwananchi Jumapili nikakumbuka mjadala uliouanzisha juma lililopita.
  "majambazi yamtumia salamu Mwapachu...yafunga mtaa, yapora kweupee...ni wiki moja baada ya kuwatemea cheche!" ndicho kichwa cha habari kilichonistua. Yaani pamoja na kauli ya vitisho hivyo bado wanavamia mitaa? Hawaogopi? Hawakusikia? Kwa nini lakini?
  Huo ni uthibitisho kuwa kuwatishia eti watauawa, ni kupoteza muda tu. Mheshimiwa Waziri atafute mbinu nyingine, hiyo aliyoanza nayo itaigharimu jamii. Vitendo hivyo vidhibitiwe kisayansi na sio kwa vitisho.
  Makala yako katika Tanzania Daima sijaikosa. Hongera mzee, nisalimie Ughaibuni.

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker