Tarehe: 8:09:00 PM, Mtoa Maoni:- boniphace
Tarehe: 6:58:00 AM, Mtoa Maoni:-
Jeff, wasiliana na chuo rasmi kama mwanablogu na mwandishi wa habari ili uweze kupata taarifa rasmi za chuo. Taarifa za fulani alihudhuria chuo lini, alisoma nini, alipata alama gani sio taarifa za siri. Ukitaka mambo kama anuani hapo ndio itakuwa vigumu. Kwahiyo naona tuma maombi yako rasmi. Utakuwa unafungua uwanja ambao inabidi tuanze kuuingilia, uwanja wa wanablogu kuwa wapekuzi. Uandishi wa kipekuzi na kikachero kama wa marehemu Katabalo haujakomaa nchini kwetu. Mishiko mingi...
Tarehe: 8:38:00 AM, Mtoa Maoni:- Indya Nkya
Tarehe: 8:43:00 AM, Mtoa Maoni:- FOSEWERD Initiatives
Jeff kwa kweli ni kizungumkuti! kwa maana hii CV imeandikwa kama aya ya biblia! ukipita hapa
http://www.theiacp.org/div_sec_com/div/MahitaBio.pdf
utakuta maelezo haya ambayo hayaoanishi mwaka wala kipindi! haisemi ilikuwa ni BLL au Bcom au BsC au what!!! maana tena kuna hiko cha UK na hiko cha Tz! kwa ujumla imeandikwa kiusanii mno!
....A graduate of the Ontario Police College in Canada, the Bramshill Police Academy in the UK and the Tanzania Police College, his illustrious service has seen him through a number of responsible appointments both in Tanzania and abroad.....
Jeff tumemsamehe mwalimu na tunampenda, pia ilikuwa ni process ya kujifunza! maneno ya mwalimu kwamba kinachobaki ni baada ya darasa ni ya msingi sana! kingine ni kuwa katika sayansi au elimu ya takwimu husaidia kufanya maamuzi kutokana na habari, tarakimu zilizopo....tunaweza kusema huyu jamaa kutokana na frequency zake za kuchemsha, na extent zake za kuchemsha, ziko statisticaly significant na vyuo alivyoingia hata kama ni kusalimia marafiki! kimsingi alifluke kuingia hiyo ofisi! kazi za Ben hizo!
Tarehe: 8:44:00 AM, Mtoa Maoni:- FOSEWERD Initiatives
Tarehe: 8:46:00 AM, Mtoa Maoni:- FOSEWERD Initiatives
Jeff nimefarijika kwa majibuya haraka. Hii inaonyesha serikali ya wana blogu inachapa kazi kwelikweli na haina mzaha katika kufatilia jambo. Bado nina swali jingine kuhusu aina za taaluma zinazotolewa hapo nina maana ngazi ya taaluma, certificates, Diploma, Degrees nk.