VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Thursday, March 23, 2006
KIDUKA HIKI CHA NANI?
Nimepita mitaa fulani nikakuta kiduka hiki. Nani mmiliki wake? Chaonyesha kuwa na bidhaa nyingi kuliko kile cha mdosi pale mtaani kwetu. Kitembelee hapa
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 3:34 PM | Permalink |


Maoni: 8


  • Tarehe: 11:56:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger John Mwaipopo

    Hiyo ni "Mall" sio kiduka.Yatosha.

     
  • Tarehe: 9:32:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

    Kilianza kidogo kidogo kama kiduka, sasa kweli inaelekea kua "Mall".. Mimi ndio mmiliki ya tovuti ya Kiduka.com

    Ningependa kupata maoni yenu.

    Asanteni

     
  • Tarehe: 11:00:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Habari Hub

    Du hiki siyo kiduka bali ni jiduka kama wanavyosema waswahili wa Tanga maana wapata kila kitu ati katika hilo duka, sijui amelifungua lini na je mbona bidhaa nyingi halafu wanunuzi hatujui.

    Atueleze tupate kuwa tunanunua bidhaa maana mali iliyopo ndani hata wale majambazi wa hapa kwetu wakifika watchekelea kwa furaha.

    Kweli bwana Luca saidi duka lako linavutia nasi twataka kununua bidhaa ati!

     
  • Tarehe: 11:33:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Jeff Msangi

    Luca,
    Ahsante kwa kujitokeza.Tovuti yako ni nzuri kwa kweli.E-mail yangu uliipata?

     
  • Tarehe: 1:06:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger boniphace

    We acha nimekula mangoma katika kiduka hiki, yaani sijui nikiite kimall kabisa. Jeff umekivumbua wapi, kila siku utamu unaongezeka.

     
  • Tarehe: 9:26:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

    Hya bwana luca hilo ni duka hasa jitahidi kwani mi naanza kununua bidhaa hapo,we jeff sijui umelipatia wapi hilo duka,langu ni www.fglukwaro.blogspot.com

     
  • Tarehe: 11:42:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

    Jeff, pongezi kwa kutupeleka kwenye kiduka hiki. Ngoja tukitazame vizuri tuona kama wanauza magadi.

     
  • Tarehe: 5:25:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Reggy's

    Hiki kiduka bab kubwa, kuna kila kitu, lakini angalia kisiuze bangi.

     
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker