
Hapa ndio makao makuu ya jiji la Toronto wenyewe hupenda kupaita City Hall.Pana siasa hapo usiombee.Vijishughuli chungu mbovu huwa vinafanyikia hapo kwenye majira ya "summer' ambayo hutia watu wengine wazimu! Hivi Meya wa jiji letu la Dar-es-salaam ni nani siku hizi?Wa hapa anaitwa David Miller.
Jeff hiyo mogirofa imenikumbusha mitwini Tawa yetu ya pale BOT.Uliiacha?.Meya pale Dar wapo watatu kama sijakosea kwa kila Manispaa lakini siwakumbuki,lakini nakumbuka katika moja ya manispaa kuna jina mojala mtoto wa kigogo wa zamani sijuia yule ni mtoto wake? liligombea.Lakini alishindwa.