Thursday, May 11, 2006

KWA MEYA WA TORONTO


Hapa ndio makao makuu ya jiji la Toronto wenyewe hupenda kupaita City Hall.Pana siasa hapo usiombee.Vijishughuli chungu mbovu huwa vinafanyikia hapo kwenye majira ya "summer' ambayo hutia watu wengine wazimu! Hivi Meya wa jiji letu la Dar-es-salaam ni nani siku hizi?Wa hapa anaitwa David Miller.

4 comments:

  1. Jeff hiyo mogirofa imenikumbusha mitwini Tawa yetu ya pale BOT.Uliiacha?.Meya pale Dar wapo watatu kama sijakosea kwa kila Manispaa lakini siwakumbuki,lakini nakumbuka katika moja ya manispaa kuna jina mojala mtoto wa kigogo wa zamani sijuia yule ni mtoto wake? liligombea.Lakini alishindwa.

    ReplyDelete
  2. Jeff Meya wa Jiji la Dar es Salaam anaitwa Adam Kimbisa, mfanyabiashara maarufu na Katibu wa Chama cha Msalaba Mwekundu, hebu niambie kitu hapo! Haya majengo bwana si mchezo yamejengwa mfano wa nusu mwezi ni matata tungekuwa nako kamoja tu ka namna hiyo ingekuwa matata tungekaona kuanzia Mbezi nafikiri, hivi maghorofa haya yana ghorofa ngapi?

    ReplyDelete
  3. jeff, nafurahi sana unanipa tafu kwa habari na mapicha. unajua picha huongea maneno 1000 kwa sekunde, hivyo naomba kaza buti. nasikia raha mbongo akitupa picha zaughaibuni. natumai wengine watafuatia. hongera!

    ReplyDelete
  4. Anonymous10:39:00 PM

    http://photos1.blogger.com/blogger/3812/1569/1600/mayor%207.jpg

    http://issamichuzi.blogspot.com/2006_01_01_issamichuzi_archive.html

    ReplyDelete