Tarehe: 4:27:00 PM, Mtoa Maoni:- John Mwaipopo
Tarehe: 9:13:00 PM, Mtoa Maoni:- mwandani
Tarehe: 7:58:00 AM, Mtoa Maoni:- Mija Shija Sayi
Tarehe: 8:52:00 PM, Mtoa Maoni:- Kabinti
Tarehe: 8:53:00 PM, Mtoa Maoni:- Kabinti
Tarehe: 5:50:00 AM, Mtoa Maoni:- Sultan Tamba
Tarehe: 7:00:00 AM, Mtoa Maoni:- MICHUZI BLOG
Tarehe: 9:35:00 AM, Mtoa Maoni:- mzee wa mshitu
Tarehe: 1:05:00 PM, Mtoa Maoni:-
Tarehe: 4:56:00 PM, Mtoa Maoni:- Jeff Msangi
Shukrani kwa wote mlioshiriki katika kujaribu kutegua kitendawili hiki.Baadhi yenu mlikaribia kupata jibu sahihi.Wengine mlilitaja ila bila uhakika.
Jibu ni kwamba huo ndio ubalozi wetu wa Tanzania nchini Canada!Ni full high commission.(high commission ni mbadala wa embassy.High commission ni kwa ajili ya nchi za commonwealth pekee).
Kwa kutazama nje unaweza kuhisi kilichomo ndani.Swali langu ni je,nguvu ya kusukuma watalii waende Tanzania tunaimalizia wenyewe huku huku?Ubalozi ndio picha halisi ya nchi husika?
Tarehe: 5:35:00 PM, Mtoa Maoni:-
Kwa haraka haraka ningeotea kuwa hapo ni ofisi ama ya ubalozi wa Bongo katika Canada ama kama si ya ubalozi basi inahusika (kiofisi) na Tanzania. Lakini kwa kuwa humu ughaibuni tofauti na Bongo kumiliki bendera na kuitumia ni suala huru. Mtu unaweza kuweka bendera ya marekani nyumbani kwako na hamna maneno. Unaweza ukamvisha mbwa wako bila tabu. Kafanye vivyo bongo kama haujaulizwa kwa mkong'oto. Ndio maana pale juu nimeweka kwenye mabano "kiofisi" Basi nabashiri hapo ni nyumbani kwako.