kama macho yangu hayanidanganyi hao watu kwa umbali wanaonekana kama watu "wanasabura" Mitumba(Pamba)pale sanawari-Arusha,au manzese-Dar es Salaam!Jeff huko nako wanasabura?
Kama sijakosea hapa Jeff hapa ni Toronto kwanza kimiundo mbinu, pili kwa muonekano wa watu sioni watu hapo wenye nature ya kibongo bongo nadhani unanielewa na kisha hapa inaonekana ni kajimji kadogo kakibiashara kwahi watu wapo wanafanya manunuzi.
Hapa ni Toronto,mliosema hivyo mmepatia.Ila kinachoendelea hapo ni ngoma na sindimba.Barabara ya mtaa huu inakuwa imefungwa siku hiyo.Ni mdundo wa muziki na ngoma na kucheza.Majira ya joto ndio yanakuwa yameanza.
kama macho yangu hayanidanganyi hao watu kwa umbali wanaonekana kama watu "wanasabura" Mitumba(Pamba)pale sanawari-Arusha,au manzese-Dar es Salaam!Jeff huko nako wanasabura?