Hili unalosema linajidhihirisha kila mahali wakati nikiwa pale Zurich na hata kule Amsterdam nakumbuka walipokuwa wakiita abiria wa kwenda Canada basi robo tatu yao walikuwa ni wahindi ama kweli wenzetu hawa shida inawafundisha kutafuta malisho tofauti na sisi ambao shida inatunyong'onyeza.
Ani baba! wewe nasema sisi wibaya bana! Eniwei, hapa Kolumbasi mpaka wana ligi yao ya kriketi..