
Huyu anaitwa Amara Kante. Nilimuona siku chache zilizopita akifanya tambiko na ngoma zake kwenye tamasha la AfroFest mwaka huu hapa Toronto. Ukisikia amekuja katika mji uliopo nenda kamtazame,hususani kama wewe ni mpenzi wa ngoma.
Tarehe: 11:14:00 AM, Mtoa Maoni:- MICHUZI BLOG
Tarehe: 4:02:00 PM, Mtoa Maoni:- Jeff Msangi
Jeff. Huyu Amar Kante anatokea nchi ipi na midundo yake ni kama ya sindimba ama tokomire?