Thursday, July 20, 2006

AMARA KANTE


Huyu anaitwa Amara Kante. Nilimuona siku chache zilizopita akifanya tambiko na ngoma zake kwenye tamasha la AfroFest mwaka huu hapa Toronto. Ukisikia amekuja katika mji uliopo nenda kamtazame,hususani kama wewe ni mpenzi wa ngoma.

2 comments:

  1. Jeff. Huyu Amar Kante anatokea nchi ipi na midundo yake ni kama ya sindimba ama tokomire?

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Amara Kante anatokea Ivory Coast ila anaishi kule Marseilles,Ufaransa.Anaendesha shule kubwa sana ya kufundisha ngoma huko.Midundo yake nadhani ni sindimba kubwa.

    ReplyDelete