Wakati wa kombe la dunia ulinzi ulikuwa mkali kupindukia. Hapo ndio utajua kwamba kitumbua kimeshaingia mchanga na mdudu ndani ya kokwa la embe keshaanza kutotoa wenzake. Tazama kwa makini picha hii.
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 11:32 AM | Permalink |