Kuitendea haki nafsi yangu kunakwenda sambamba na kusema bayana yale yaliyomo moyoni. Hii ndio sababu iliyosababisha wiki hii niandike maoni yangu kuhusu sakata la Jinamizi la Darwin ambalo huko nyumbani Tanzania limekuwa la muhimu kuliko sera za nchi na utekelezwaji wake. Soma hapa nilivyoandika katika ule waraka wangu wa kila jumapili katika Tanzania Daima.
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 12:55 PM | Permalink |
Jeff nakupongeza kwa maoni yako mazuri. Naomba Mungu yamfikie na Rais Kikwete naye asome.