Mloyi, maporomoko wazungu waliyoyaita Maporomoko ya Vikitoria yanaitwa Mosi O Tunya! Yaani moshi utoao mlio kama radi.
Jeff, naona unaelekea kuwa Michuzi mdogo siku hizi. Kakupa kizizi nini? Unarembesha kazi zako vizuri sana kwa mapicha. Tunafaidi. Endelea mwanakwetu.
Maporomoko ya niagara ni makubwa kuliko ya victoroa falls?( samahani kwa ku-genisha mali asili ya waafrika.)