VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Friday, September 01, 2006
MDUNDIKO

Nani alikudanganya kwamba Toronto hakuna mdundiko? Mbona upo,tena sio wa kawaida. Dada huyu alikuwa akinengua kwenye lile tamasha maarufu la Caribana mwaka huu.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 10:18 AM | Permalink |


Maoni: 3


 • Tarehe: 1:16:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Egidio Ndabagoye

  Jeff, ngoma hizi za Mdundiko zikipigwa Bongo watu hawasogelei kwa sana kama zamani.Siku hizi bwana watu wanataka mashindano ya kucheza na kuimba kama akina Jay Z

   
 • Tarehe: 3:05:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Jeff Msangi

  Egidio,
  Ukimuona au kumsikia mtu wa namna hiyo(anayetaka kuimba au kughani kama hao kina Jay Z)usimtenge,mwite pembeni msaidie kimawazo,ni mtumwa wa akili,wapo wengi.Mimi sina tabu na kuiga mambo fulani fulani kutoka kwenye tamaduni za wengine(kama tunaona yanafaa).Tabu yangu ni pale vya kwetu tunapoona havifai,tunapoviponda badala ya kuviboresha.Hapo naumia kichwa na kusikitika sana.

   
 • Tarehe: 6:09:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger SIMON KITURURU

  Duh! Kama ni kweli siku hizi watu hawafuati mdundiko basi kuna aina moja ya sanaa BOMBA ambayo inakufa Bongo na inasikitisha sana.Kwa sababu mimi hua naamini Wazungu walifuata Brazi Bendi, na mara nyingi iliwekwa kama fomaliti na sio watu wenyewe kuamua kufuata. Sisi bongo sijawahi kuona ngoma ambayo ilikuwa inavuta na iko mobile kama mdundiko. Watu walikuwa wanafuata kwa kupenda.Jeff, Unakumbuka KAMUACHA MUME WAKE KAFUATA MDUNDIKO!

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker