Friday, September 29, 2006
NANI MTOTO KATI YA HAWA?
Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga. Msemo huu wa kiswahili nadhani una maana nyingi kuliko nilivyokuwa nikifikiria. Nguo ni nini katika msemo huu,maji je? Maswali haya yanakuwa mengi pindi "habari za aibu" za aliyekuwa kamanda mkuu wa jeshi la polisi Tanzania zilipotinga kwenye vyombo vya habari. Hapo ndipo ninaposema, ukishayavulia chupi..huna budi... Kwa habari zaidi juu ya mkasa huu bonyeza hapa.
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 9:32 AM


|
Permalink |
-
Jeff,
Hii tena siyo "creativity" ni "Crazytivity".
-
Ahsante Metty,
Nimeanza kujifunza mambo ya photoshop,its fun to work with pictures using photoshop.
-
Jeff, nimepata jibu la swali nililokuuliza.
Nimecheka hadi sijui nini.
-
Jeff, hiyo kali sana!
Nadhani ulichojifunza umeshakielewa.
Kazi njema!
-
Jeff we mkali mwanangu mwenyewe. Aminia babake.
Lakini kilichotokea kwa bosi wa polisi huyu ni kuwa hajakataa kumtunza mtoto huyu, na alimchukua na kumkabishi kwa shehe mmoja maarufu (simtaji kwa sasa) ili amlee kwa maadili ya kidini. Wajanja ili kutaka fedha wamemshawishi ama wamamrubuni mama wa mtoto huyu kisha akaenda kumuiba mtoto huyu kule kwa shehe ili ampandishe kizimbani bwana Omari kwa minajili ya kupata mshiko.
-
Mjadala mgumu sana huu,
Hivi kimsingi Mahita hatakiwi pia kumtunza au kumlipa mzazi mwenzie?
Nadhani kitendo cha Mahita,kama anavyosema Mwaipopo,kumchukua mtoto na kumpeleka madrasa bila makubaliano mazuri na mama yake,ni kosa.
Inawezekana kabisa kukawa na ushawishi wa fedha lakini bado nadhani mama na baba wa mtoto lazima wawe na makubaliano thabiti.Hili nadhani halikutoea na ndio maana tunaona kesi ya aibu.
-
Kwa hiyo Afande pia alikuwa havai condom ! makubwa haya .Tutapona kweli?
-
Sorry nipo off topic !
Hawa ma selebrite wana nimaliza nguvu. Zamani fashen ilikuwa ni kubeba vimbwa vidogo vidogo kama chihuahua nk siku hizi mtindo ni ku adopt watoto Afrika !
wa mwisho huyu kahaba mzee amekwenda kununua mtoto Malawi !What about the moral side of this case ?
Jeff,
Hii tena siyo "creativity" ni "Crazytivity".