Tarehe: 4:48:00 PM, Mtoa Maoni:- Jaduong Metty
Tarehe: 9:16:00 AM, Mtoa Maoni:- Jeff Msangi
Tarehe: 4:10:00 PM, Mtoa Maoni:-
Tarehe: 2:15:00 PM, Mtoa Maoni:- Mjengwa
Tarehe: 7:51:00 AM, Mtoa Maoni:- John Mwaipopo
Jeff we mkali mwanangu mwenyewe. Aminia babake.
Lakini kilichotokea kwa bosi wa polisi huyu ni kuwa hajakataa kumtunza mtoto huyu, na alimchukua na kumkabishi kwa shehe mmoja maarufu (simtaji kwa sasa) ili amlee kwa maadili ya kidini. Wajanja ili kutaka fedha wamemshawishi ama wamamrubuni mama wa mtoto huyu kisha akaenda kumuiba mtoto huyu kule kwa shehe ili ampandishe kizimbani bwana Omari kwa minajili ya kupata mshiko.
Tarehe: 11:45:00 AM, Mtoa Maoni:- Jeff Msangi
Mjadala mgumu sana huu,
Hivi kimsingi Mahita hatakiwi pia kumtunza au kumlipa mzazi mwenzie?
Nadhani kitendo cha Mahita,kama anavyosema Mwaipopo,kumchukua mtoto na kumpeleka madrasa bila makubaliano mazuri na mama yake,ni kosa.
Inawezekana kabisa kukawa na ushawishi wa fedha lakini bado nadhani mama na baba wa mtoto lazima wawe na makubaliano thabiti.Hili nadhani halikutoea na ndio maana tunaona kesi ya aibu.
Tarehe: 5:04:00 PM, Mtoa Maoni:-
Tarehe: 5:10:00 PM, Mtoa Maoni:-
Jeff,
Hii tena siyo "creativity" ni "Crazytivity".