VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Wednesday, September 06, 2006
USISAHAU



Mama nieleke. (KITANDA) Mother! Carry me on your back. (BEDSTEAD)

Parr! Hata Makka. (UTELEZI) Prr! straight to Mecca. (SLIPPERINESS

Nende huko na nikirudi nimshike Ngombe wa mama mkia. (KATA YA MAJI) Let me go far away and when I come back let me catch hold of the tail of my mother’s cow. (LADLE for DRINKING WATER)

Nyumba yangu haina milango.(YAI) My house has no door. (EGG)

Kitendawili changu cha ajabu kina matone ya dhahabu. (QURANI TAKATIFU) My wonderful riddle is adorned with spots of gold. (THE HOLY QURAN )

Ubwabwa wa mwana mtamu. (USINGIZI) A child's porridge is delicious. (SLEEP)

Kipo lakini hukioni(KISOGO) It is here but you cannot see it(THE NAPE OF THE NECK)

Nilikuwa nikienda njiani nilipomsikia mtu akinita Wifi! Wifi!” lakini nilipogeuka sikumwona mtu. (MBAAZI KAVU) I was going along the road when I heard a person calling me, Sister -in-law!’but when l turned round there was no one in sight. (DRY PIGEON-PEAS in THEIR PODS)
Nzi hatui juu ya damu ya simba. (MOTO)The fly cannot settle on the lion’s blood. (FIRE)

Bibi mweupe ametupwa mibani. (MACHICHA YA NAZI)The white lady has been thrown upon the thorns. (THE SHREDS OF THE MEAT OF THE COCONUT AFTER THE MiLK HAS BEEN SQUEEZED OUT OF IT)

Pana visu vingi lakini mpini mmoja tu. (CHANA YA NDIZI)There are many knives but only one handle.(A BUNCH OF BANANAS)

Ukiona Njigi’ utadhani ‘Njege’; na unapoona Njege’ utafikiri ‘Njigi’. (MAZIWA NA TUI LA NAZI)If you see ‘Njigi’ you will take it be Njege’;and should you see Njege’ you will ihink it Njigi (COW-MILK AND COCONUT-MILK)

Popoo mbili zavuka mto. (MACHO)Two areca-nuts cross a river. (EYES)

Nyumba yangu ndogo ina madirisha mengi.(DEMA)My house is small but it has many windows. (A FISH- TRAP)
Kombe Ia Mungu Ii wazi (KISIMA)God’s cup is open. (A WELL)

Nimewafungia milango wanangu huku wakipigana(BISI ZIKIKAANGWA) I have shut the door on my children and theyare now fighting. (MAIZE-SEEDS BEINGROASTED)

Nyumba yang kuu ina mlango mdogo.(CHUPA) My house is large but its door is small. (BOTTLE)

Wanangu wote wamevaa vizibao, wasiovaa siWanangu. (KUNGURU WENYE MABAKA MEUPE) My sons wear Waistcoats: those who do not arenot my Sons. (WHITE-BREASTED CR0WS)

Nimeanika mpunga wangu juani lakin, kulipopambazuka sikuuona. (NYOTA) I have put my paddy rice in the sun to dry butwhen day dawned I couldn’t see it. (STARS)

Watoto wangu wote wamevaa kofia, wasiovaa siwanangu. (FUU) All my children have caps on. those withoutare not my children. (FRUIT OF VITEX CUNEATA )

Nina watoto wanne, lakini akiondoka mmojawaliosalia hawafanyi kazi. (MATENDEGU YAKITANDA) My children are four in number but, when onegoes away, the rest cannot work. (THE LEGS OF A BED)

 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 3:08 PM | Permalink |


Maoni: 5


  • Tarehe: 9:40:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger mloyi

    Vizuri unakumbuka nyumbani. Pata usingizi mnono uote na uwakumbuke rafiki zako wa nyumbani.
    Kesho nitakukumbusha kale ka nyimbo cha utotoni, lakini usicheke sana.

     
  • Tarehe: 10:40:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Jeff Msangi

    Nitakasubiri hako kanyimbo Mloyi

     
  • Tarehe: 8:15:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

    Sasa Jeff unaanza kutuchokoza sasa. Yaani umenipeleka darasa la nne miaka mingi iliyopita. Uchokozi huu itabidi tutafute namna ya kuujibu.

    Mbona hukutaka tukumpe mji?

     
  • Tarehe: 4:25:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Mija Shija Sayi

    Pamparuma mlango wa chuma ukiufungua hauna huruma.........

    Wazungu wawili wanachungulia dirishani...........

    Ukiona Njigi utadhani Njege, ukiona Njege utadhani Njigi........

     
  • Tarehe: 11:14:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger mzee wa mshitu

    yeahhh kaka Mloyi mimi nakupa mji Dodoma hebu tutegulie kitendawili cha huo mwimbo.
    Jeff haki ya mungu hii imenikumbusha home kule Mtwara haya mambo si mchezo kwa hakika huyu Mcanada hataki utani na hii ni mjini na hawa ni wazungu, sisi je tunabakia kuruka majoka ya kizungu tu mhhhh!!!

     
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker