VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Sunday, November 05, 2006
HII NDIYO TANZANIA YA SASA!
Mkuu wa mkoa wa Tabora,Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, ameua kwa kutumia silaha! Hiki ni kisa cha kinyama cha aina yake. Sidhani kama naweza kuelezea vizuri kisa chenyewe.Bonyeza hapa ujisomee.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 1:31 PM | Permalink |


Maoni: 11


 • Tarehe: 1:26:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Mija Shija Sayi

  Jamani vijana tunatakiwa tuichukue nchi sasa hivi.

   
 • Tarehe: 2:41:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger luihamu

  Kama Da mija alivyosema inasikitisha sana,sana,sana.

   
 • Tarehe: 3:16:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  hiyo ndio ari mpya na kasi mpya .

   
 • Tarehe: 10:10:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  MALIPO DUNIANI, AHERA ITAENDA HESABU. DITOPILE NAWE NI MZAZI. MBONDE ALIZALIWA NA BABA NA MAMA. KOSA LAKE NI KUKOSA MADARAKA SERIKALINI. TANZANIA, TANZANIA, TANZANIA...NAKULILIA.

   
 • Tarehe: 10:14:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  waweza kujaza kabati kwa vyeti vya elimu ili uwepo kwenye tabaka la wasomi lakini kama ujaelimika ni bure. ditopile ulikwenda shule kupata maksi na si kuelimika. bush anamwonea saddam, viditopile ndio wakushughulikiwa.

   
 • Tarehe: 10:28:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  HAPO INABIDI SHERIA ICHUKUE MKONDO TU KWA MH. DITTO AHUKUMIWE KAMA ILIVYOKUWA KWA KESI YA ZOMBE. NA HII ITAKUWA MFANO KWA VIONGOZI WENGINE WA SERIKALI, KWANI MADARAKA SIO KIPIMO CHA KUWAONEA RAIA NA KUCHUKUA MAAMUZI KAMA HAYA, HII INATISHA. KAMA VP KILA MTU AMILIKISHWE SILAHA BASI ILI TUGONGANE! NAOMBA SERIKALI IMUADABISHE BRO! DITTO.

   
 • Tarehe: 10:36:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  BUSH ANAMWONEA SADDAM, VIDITOPILE NDIO WAKUSHUGHULIKIWA. TENA NAONA HUKUMU YA JINO KWA JINO ITAMFAIDISHA, HUYU AFUNGWE MAISHA TU.

   
 • Tarehe: 11:15:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  inauma sana sana roho ya mtu inapotoka bila hatia kwa kweli mungu atusaidie manake kuna watu wamekuwa na kiburi sana na madaraka.kwani mbonde hakutaka kuishi?tena alikuwa ndio anategemewa na familia yote.kwa kweli ditopile ukae ukijua damu ya mtu huwa haiendi hivi hivi itakutesa sana,hasa kwa vile ulikusudia.

   
 • Tarehe: 4:31:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger mloyi

  Ni chungu tulichokuwa tunakipika siku nyingi leo kimeiva! Kosa la dito ni kosa lenye neeme? kama anavyosemaga padri karugendo. Kiingereza wanaita "road rage", ndio kosa la kwanza kumpeleka Mwamba Tyson jela, kwao wazungu ni kitu cha kawaida kutokea.
  Fikiria, unaendesha gari lako ikifuata sheria zote, unasimama kupisha watoto wa shule wavuke barabara kwenye punda milia halafu jamaa lingine linasimamisha gari lake pembeni yako na kuanza kukutupia mitusi ....wewe *&!? unalala nini barabarani, unadhani uko kwa mkeo hapo, tupishe sisi tupute kwanza gari lako halina hesabu! *&!!@? nini.
  Unadhani katika hali hii na ukiunganisha na mambo ya huko ulikotoka na kiunoni unakitu cha kujivunia ,Bastola, utafanya nini?
  Jeff na wenzako mliokaa nje huko hali kama hii huwa wanajitetea vipi? mara ngapi kitu hiki huwa kinatokea?
  Labda Dito alishindwa kuzuia hali ile isitokee, lakini ilibidi atoke kumwonyesha kwamba yule jamaa alifanya kosa, sio kumtwanga risasi, lakini hadithi yenyewa haisemi vizuri mambo ya risasi yalianza vipi. hatuwezi kuisemea maiti na mashahidi wake kama ASP Tibaigana alivyosema labda ilikuwa makusudi au bahati mbaya, lakini kwangu ukweli ni Sheria za barabarani inabidi ziheshimiwe na kila mtu ana haraka ya kufika aendako! Vilevile ukichelewa kufika kubali umechelewa sio kulazimisha.

   
 • Tarehe: 5:37:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  ILA JK HE HAVE TO BE VERY CAREFUL ON THIS ONE KWA SABABU WATU WANAMUANGALIA SANA ,NA KILA MTU ANAJUA KUWA DITO NI CLOSE FRIEND WA JK ,SASA WATANZANIA WOTE WANAANGALIA MACHO KWA SERIKALI,NA PIA KUNA MTOTO WA MUNGAI NAYE AMETUMIA BASTOLA YAKE VIBAYA KWA KUPIGA JUU KWANYE UKUMBI HUKO MAFINGA,SASA MAMBO HAYO YOTE YANAFANYWA NA WATU WAKUBWA ,SISI WADOGO TUJIFUNZE NINI???

   
 • Tarehe: 6:49:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  Jeff Mdogo (sijui ni sawa), kasema kule kwake kuwa 'TULICHELEWA TU KUSOMA ISHARA ZA NYAKATI' na ninaungana naye

  http://msangimdogo.blogspot.com/2006/11/ya-ditopile-tulishindwa-kusoma-ishara.html

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker