VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Tuesday, November 14, 2006
MKUTANO NI JUMAMOSI,SAA NANE
Baada ya zoezi la kupiga kura ili kuchagua muda muafaka wa mkutano wetu, imeonekana kwamba waliopendekeza saa nane mchana kwa saa za Tanzania wameshinda.Kwa maana hiyo mkutano wetu wa kwanza wa wanablog, wasomaji,wachangiaji,watanzania,mimi na wewe utafanyika Jumamosi ya Tarehe 18 Novemba,2006 kuanzia saa nane mchana kwa saa za Tanzania.

Ukurasa wa wiki wa mapendekezo ya ajenda za mkutano huu bado upo wazi. Unaweza kuupata ukura huo kwa kubonyeza hapa.Unazo haki zote za kimsingi za kuchangia na kutoa mapendekezo yako pale pale.

Shukrani nyingi kwa wote ambao wameshiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua muda.Tunaweza.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 2:04 PM | Permalink |


Maoni: 4


 • Tarehe: 11:26:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger luihamu

  Kaka Jeff hamna kukata tamaa,tumekaza buti moto bati,acha tu.

   
 • Tarehe: 5:25:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Michuzi

  Jeff!

  samahani, lakini imebidi nibandike kwa hayo ya hapo chini ambayo nadhani yanafaa kuwa ajenda, kwani yaonesha kiswahili kinabaguliwa na watu wa google ingawa kinaungumzwa karibu dunia nzima.

  kwa maana ingine ni kwamba iko haja ya kutafuta njia za kufuta jasho watu wenye kuhangaika kama wewe kwa njia ya matangazo, lakini hili linakatisha tamaa.

  nimeleta mada hii kwako kwa uchambuzi na ushauri pia. kaka ndesanjo na makene na wengine naomba tulivalie njuga swala hili ili kiswahili kipitishwe kupokea matangazo kama ilivyo kwa hao wenzetu watajwa kwenye link zao hapo chini

  nawasilisha hoja huku nikifyumu
  Hello Muhidin,

  Thank you for your interest in Google AdSense. Unfortunately, after
  reviewing your application, we're unable to accept you into Google
  AdSense at this time.

  We did not approve your application for the reasons listed below.

  Issues:

  - Unsupported language

  ---------------------

  Further detail:

  Unsupported language: We have found that the content of your site is
  primarily in a language that we do not support at this time. A full
  list of supported languages is available at
  https://www.google.com/support/adsense/bin/answer.py?answer=9727&hl=en_GB .
  If you manage or own another site in one of our supported

   
 • Tarehe: 10:06:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Jeff Msangi

  Michuzi,
  Ahsante kwa kulileta hili kibarazani.Ni kitu muhimu sana kufanyika ili lugha yetu itambuliwe zaidi.Ngoja niangalie nini tunaweza kufanya.

   
 • Tarehe: 3:23:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Maggid Mjengwa

  Hili kweli la kulivalia njuga. Jeff, tupe maendeleo utakapofikia.

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker