VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Friday, November 17, 2006
NDANI YA TUZO ZA BLOG BORA CANADA

Kwa heshima na taadhima, ninayo furaha kuwatangazieni nyote kwamba blogu yangu ya kimombo inayojulikana kama African Perspective, imeteuliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za blogu bora nchini Kanada (2006 Canadian Blog Award). Imeteuliwa katika kundi la blogu bora za Kitamaduni (Best Cultural Blog).

Kura yako ni muhimu sana ili niweze kushinda.
Bonyeza hapa ili uweze kunipigia kura yako. Ukifika kwenye huo ukurasa mkuu wa 2006 Canadian Blog Award shuka chini mpaka ufike kwenye orodha ya Best Cultural Blog). Bonyeza hapa usome blogu yangu ya African Perpective. Ahsante sana kwa kura yako.

NB: Mkutano wetu ni kesho. Ndesanjo ameweka maelekezo mazuri na muhimu sana juu ya mkutano huo.
Bonyeza hapa usome alichokiandika.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 11:28 AM | Permalink |


Maoni: 4


 • Tarehe: 2:03:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous ndesanjo

  Hongera na twakutakia kila la heri. Kura tayari umepata.

  Tuongee na "wazee" nini ili wakupe baraka zao?

   
 • Tarehe: 3:20:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Maggid Mjengwa

  Jeff! Hongera sana! Hapo tu tayari ni ushindi mkubwa kwako. Kazi nzuri!
  /maggid

   
 • Tarehe: 7:51:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  Jeff' Hongera sana. Kazi nzuri. Kura nimeishapiga tayari.
  Deo Toronto

   
 • Tarehe: 5:50:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous ndesanjo

  Haya, natumbukiza kura yangu ya leo. Naona ungeelezea vizuri kuwa mtu anaweza kukupigia kura kila siku mara moja na pia mwisho wa kura ni lini n.k.

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker