VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Friday, November 24, 2006
UNAWEZA KUOA WAKE WAWILI KATIKA SIKU MOJA?

Maajabu ya dunia yetu hii hayaweza kuisha hata siku moja. Labda huo ndio ukweli mzito kuhusu dunia yetu. Hivi karibuni huko katika kitongoji kijulikanacho kama Ibrahim Koodnur, karibu na mji wa Hargeysa jamaa mmoja ajulikanaye kwa jina la Ismail Osman Abdullahi alioa wanawake wawili katika siku moja kama anavyoonekana katika picha hiyo hapo juu. Majina ya wake zake hao wawili ni Gasira Mohamed Hussein na Shukri Osman Mohamed.

Habari hii ambayo nimeletewa na rafiki yangu mmoja anayetokea katika nchi hiyo anayeishi hapa Canada hivi sasa, imeniacha kinywa wazi kidogo. Hivi inawezekana kweli?


Chanzo cha habari hii kinapatikana hapa kwa wale wanaojua kisomali.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 2:29 PM | Permalink |


Maoni: 5


 • Tarehe: 11:08:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger SIMON KITURURU

  Imenikumbusha tu 1978 Fela Kuti alivyooa wanawake 27. Lakini sidhani kama Tanzania ni kinyume cha sheria kuoa wake wengi siku moja

   
 • Tarehe: 2:01:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger SIMON KITURURU

  Hivi wenzangu mnaipata site ya Ndesanjo?

   
 • Tarehe: 11:20:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Egidio Ndabagoye

  Braza Simon hii site hata mie siipati.Mimi tatizo hilo limenipaa tangu jana nikajua labfa ni kompyuta yangu lakini nikawa naona ujumbe toka word Pres.Nashangaa kulikoni!

   
 • Tarehe: 1:54:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Jeff Msangi

  Hata mimi haipatikani kutokea hapa kwangu.Nadhani wenyeji wake(hosts) wordpress wanahamisha servers au kitu kama hicho.

   
 • Tarehe: 7:15:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger John Mwaipopo

  Jeff wakati fulani nilijaribu kutoa komenti lakini sikufanikiwa kuingia humu.

  Temeke iliwahi tokea inayofana-fanana na hii. Jamaa alichumbia binti ambaye alikuwa identical twin na dada yake na walikuwa wakipendana usipime. Dada ambaye hajaolewa akadai hakieleweki mpaka nayea alolewe na mchumba wa pacha mwenzie. jamaa akaulizwa kama anaweza kuwamudu akadai hapana shaka na hatimaye alikabidhiwa mizigo yote miwili kwa mkupuo.

  alamsiki

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker