VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Wednesday, December 06, 2006
KUULIZA SWALI NI KOSA?
Leo katika gazeti la Tanzania Daima nimesoma habari hii ambayo imeniacha kinywa wazi, sio kwa usingizi mzito, bali kwa mshangao. Eti ni kosa kumuuliza mbunge wako swali na kwamba jamaa mmoja ambaye amefanya hivyo amejikuta akipewa adhabu. Bonyeza hapa usome habari nzima.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 11:20 AM | Permalink |


Maoni: 6


 • Tarehe: 5:00:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger zemarcopolo

  pale nchini kuna vitu vingi sana vya kurekebisha.vyombo vya sheria havitumiki kwa sababu haviaminiwi ndio maana mwananchi baada ya kushitaki mahakamani kuwa hajatendewa haki,inabidi amngoje mkuu wa mkoa ndio amwambie!

   
 • Tarehe: 9:18:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Jeff Msangi

  Nakubaliana kabisa na wewe Zemarcopolo,safari ya nchi yetu bado ni ndefu sana.Hili hunifanya hata nihoji uhuru tunaousheherekea wikiendi ijayo kwamba nini maana yake kama hata uhuru mdogo tu wa mwananchi kujielezea na kuhoji unakuwa mgumu kupatikana.Uhuru huu ni wa nani hasa?

   
 • Tarehe: 5:34:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous ndesanjo

  Habari nyingine unaweza kusoma na kudhani kuwa ni riwaya tu kumbe kweli. Ingekuwa nchi nyingine nako ni hivi basi Bill Clinton alipokuwa akiulizwa maswali kuhusu kashfa ya nyumba ndogo huku nchi nzima ikitazama luninga, waliomuuliza maswali wangekuwa labda wamehukumiwa vifo.

   
 • Tarehe: 6:38:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Chediel Charles, Luihamu ringo

  Ni hali halisi iliyoyopo hapa bongo hiyo ya singida ni kiduchu tu kuna mengi sana ya ajabu tu yanayoumiza watu hapa nchini safari bado ni ndefu,watu wanaburuzwa sana hadi unaweza lia

   
 • Tarehe: 4:44:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Michuzi

  JEFF!

  UKISHANGAA YA MUSSA...

   
 • Tarehe: 3:32:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Boniphace Makene

  Mzee mzima Jeff haya ni baadhi tu ya mambo yanayovinjari hapa Tanzania sasa. Kila mwenye nafasi ni mkubwa na anatumia ukubwa wake kikweli kunyanyasa sisi watu duni. Samahani nimekuwa napita hapa mara kwa mara ila kompyuta haziruhusu kuchangia. Enewei siku njema pia.

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker