VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Friday, January 12, 2007
KITABU CHA BLOG NA TAJIRI MTOTO

Rafiki yangu mmoja amenipa zawadi ya kitabu kilichoko kwenye picha hapo juu.Kama kinavyoonekana kinaitwa The Rough Guide to Blogging mwandishi akiwa jamaa anayeitwa Jonathan Yang.Kitabu kipo kwenye mfululizo wa vitabu vya jamaa wa rough guides.

Kwa mtazamo wangu, kama unataka kuzidisha maarifa yako juu ya kublog basi sio wazo baya kama katika hema za vitabu vyako hiki nacho kitakuwa kimojawapo. Naendelea kukisoma na kujifunza mambo lukuki.Kitabu kinapatikana katika maduka mengi ya vitabu yakiwemo yale ya mtandaoni kama Amazon.

Wakati huo huo: Hivi ukizaliwa kwenye familia yenye hali duni kiuchumi inamaanisha na wewe utadumu kuwa duni na kisha kuiaga dunia ukiwa masikini? Yaani utaendeleza historia ya umasikini?Inawezekanaje basi kukata "mzizi wa fitina"? Hebu fuatilia maisha ya Dr.Farrah Gray,bwana mdogo ambaye aliukwaa umilionea akiwa na umri wa miaka 14 tu akiwa anatokea kwenye familia masikini huko kusini mwa jimbo la Illinois nchini Marekani. Fungua tovuti yake na kisha ukurasa wake wa wiki kisha usikate tamaa,inawezekana.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 7:47 PM | Permalink |


Maoni: 1


  • Tarehe: 12:22:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous ndesanjo

    Habari ya mtoto huyu tajiri unaweza kudhani kuwa ni ya uongo. Bwana mdogo sana huyu. Lakini yote haya kweli. Nimemjulia kwako na nikarambaza intaneti nikapata habari zaidi juu yake.

    Uhuru na tovuti yao...sio uhuru tu, hata magazeti yetu tovuti zao, mmh. Nimepandisha makala kuhusu hili. Huenda kesho asubuhi wataamka.

     
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker