Thursday, February 22, 2007
BARAFU
Hapa nilipo bado ni mwendo wa barafu.Hii ni leo asubuhi.
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 11:09 AM
|
Permalink |
-
kibongobongo nakwambia poleni na baridi hapo.europe mwaka huu ni jua tu.wenyeji hawapendi hili jua la wakati huu,linawaharibia ratiba za skiing.kwahiyo kwa wo wangekwambia duh,kweli nyinyi mnafaidi!
-
Si utani nyuzi joto nazo zisharudisha heshima yake...maana hizi siku mbili tatu mambo yalikuwa ki-global warming fulani hivi!
kibongobongo nakwambia poleni na baridi hapo.europe mwaka huu ni jua tu.wenyeji hawapendi hili jua la wakati huu,linawaharibia ratiba za skiing.kwahiyo kwa wo wangekwambia duh,kweli nyinyi mnafaidi!