VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Saturday, February 03, 2007
BOTI YA NIAGARA FALLS!

Si ajabu ushawahi kusikia juu ya maporomoko ya maji yanayojulikana kama Niagara Falls,yaliyopo hapa Canada. Pichani juu ni boti inayojulikana kama Maid of The Mist ambayo ni kiburudisho cha aina yake.Inachofanya boti hiyo ni kukupeleka chini ya maporomoko ya maji ili uweze kuyaona kwa karibu sana. Kama unavyoona kwenye picha hapo juu, abiria hulazimika kuvaa makoti ya plastiki kwa sababu kuloa ni jambo la kawaida kabisa ukishapanda boti hiyo. Historia kamili ya boti ina mvuto wa aina yake.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 5:52 PM | Permalink |


Maoni: 4


  • Tarehe: 6:37:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Unknown

    hapa naangalia hii boat halafu najiuliza,wakati unapiga hii picha ulikuwa umekaa wapi kwa sababu inaonekana ulikuwa katika chombo kirefu kuliko hii boat!

     
  • Tarehe: 1:06:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Patrick G. Kamera

    Jeff,

    Shukrani kwa kutuletea mambo ya Niagara Falls.

    Zemarcopolo,

    Hapo bila shaka Jeff alikuwa nchi kavu, sehemu ambayo iko juu usawa wa maporomoko yenyewe.

     
  • Tarehe: 6:52:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Unknown

    ooh ok,cheers GK.

     
  • Tarehe: 9:42:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Jeff Msangi

    Zermacopolo,
    Ni kweli kabisa alivyosema Patrick,nilikuwa nimesimama nchi kavu ambako hiyo boti ni kama inapita chini yake.

     
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker