Saturday, February 17, 2007
NDESANJO,NIMEKUSOMA!
Wenzetu wa magharibi wanayaita mapinduzi ya umma kwa majina mengi.Mojawapo ya majina hayo ni "grassroots initiatives/revolution". Kama nimemuelewa vizuri Ndesanjo Macha katika makala yake ya wiki hii katika gazeti la Mwananchi, hiki ndicho anachokizungumzia.Yaani suala la wananchi kufika mahali na kuamua kuhodhi madaraka,kuamua mhimili wa maisha yao. Kuhoji na kukataa ngonjera na maigizo ya viongozi yasiyolenga kuipeleka nchi popote pale.Ndesanjo anasema;kabla ya kubadili nchi,badili mtaani kwenu.Msome zaidi hapa.
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 5:34 PM
|
Permalink |
-
Jeff, makala ile haiko tena kwenye kile kiungo. Kiungo hicho kina makala nyingine. Ndio mambo niliyokuwa naongelea kwenye zile makala kuhusu umuhimu wa vyombo vya habari nchini kutumia teknolojia hizi kwa marefu na mapana yake. Anayetaka kuisoma afuata kiungo hiki:
http://tinyurl.com/2ugsws
-
Asante kwa taarifa Ndesanjo.Samahani kwa yeyote aliyepata usumbufu alipojaribu kuisoma makala hiyo.
Vyombo vyetu vya habari bado viko nyuma sana kwa kweli.Tutafika?