VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Friday, February 23, 2007
Ukitaka kufurahi kila jumamosii
Njoo uburudike na wana sikinde oyee.


Hicho ni kionjo cha muziki wa wanasikinde enzi hizo wakitukumbusha kwamba wikiendi ni mwendo wa kuburudika kwa dansi na nyama choma na fanta(au bia?). Lakini ukiwa ughaibuni nyama choma ni kwa msimu au la ujichomee mwenyewe ndani ya nyumba yako huku ukijiandaa kuifukiza nyumba yako yote kwa moshi.Nje hapakaliki kwa baridi nyakati kama hizi na ndio maana nyama choma zinakuwa kwa msimu. Sasa ufanye nini? Kwanini usimsikilize Bob Marley akiongelea masuala kuhusu urasta,ganja,vyombo vya habari,siasa ndani ya muziki nk kama alivyohojiwa huko New Zealand mwaka 1979?

 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 7:51 PM | Permalink |


Maoni: 4


 • Tarehe: 12:52:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous ndesanjo

  Jeff,
  huwa sichoki kumtazama na kumsikiliza Bob. Ananifurahisha pale anaposhangaa msimamo wa serikali juu ya bangi ambayo anaiita "herb" (mtishamba). Anasema, "herb is a plant" kisha anauliza kwanini watu wanaodai kutenda mema ("who calls themselves government and this and that...") wanataka kukataza watu kutumia hii dawa.

   
 • Tarehe: 7:28:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Jeff Msangi

  Ndesanjo,
  Wewe ni kama mimi.Huwa napenda sana kusikiliza mahojiano yoyote aliyowahi kuyafanya Bob popote pale kwa sababu kila mara nimsikilizapo huwa najifunza kitu fulani.

   
 • Tarehe: 3:04:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Mjengwa

  Hapa umenikumbusha mbali Jeff! Asante sana.
  /Maggid

   
 • Tarehe: 7:18:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Michuzi

  amenifurahisha alipojibu kuwa rasta ni wewe moyoni na sio nywele ama nini.

  jeff umetupeleka mbali kweli. natfuta mahojiano aliyofanya bruce lee akiongelea sanaa ya kujilinda kwa mkono mtupu (karate) na mambo mengine.

  kama ujuavyo bruce lee alikuwa masiha wa karate na bob wa reggae na urasta. hivyo kama alivyosema ndesanjo kila neno lao linahesabika kama somo

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker