
Haya ni matokeo halisi ya hali duni barani Afrika jambo ambalo kwa kiasi kikubwa linasababishwa na uongozi mbovu unaombatana na sera mbovu na wizi wa mali ya umma.
Picha kwa hisani ya Cedric Kalonji anayoblog kwa kifaransa.
Tarehe: 3:27:00 AM, Mtoa Maoni:-
Tarehe: 6:19:00 AM, Mtoa Maoni:-
Huu umasikini, kama kweli viongozi watakuwa makini na waache wivu, na kutoa dira au kutekeleza sera za UWEZESHO WA KWELI nina imani Watanzania/Waafrica tutajikwamua, kutoka katika lindi hili la umaskini mkubwa.
Kama makala yako ya jana katika gazeti la mwananchi inavyonena, nina imani viongzi wapo na wenye uwezo mkubwa sana.
Tatizo kubwa la sasa Mfano hapa Tanzania ni kwamba bado viongozi ni walewale, wenye sera mgando samahani kwa hili neno mgando. Nasema ngando kwa sababu labda wanapo hutubia unaona kweli haya ni maendeleo lakini hazitekelezwi.
Sababu kubwa ni KULINDANA, hasa kwa MAOVU
5 5 5
Jeff Msangi nimekupata
Jna katika Mwananchi Jumapili
5 5 5