VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Tuesday, March 06, 2007
UMESIKIA KUHUSU "YESU" HUYU?
"You can become whoever or whatever you want to be,just put your mind into it".Nausikia msemo huu kila mara katika matamasha ya kuhamasisha vijana ninayohudhuria mara kwa mara hapa Marekani ya Kaskazini.Endapo unahisi kukata tamaa ya maisha ni dhahiri kwamba msemo kama huo hapo juu unaweza kubadilisha japo theluthi ya mawazo yako.

Pamoja na hayo sijawahi kufikiri au kudhani kwamba kumbe "kuwa chochote au yeyote" ni pamoja na kuweza kuwa kitu kama "Yesu" kama ambavyo jamaa mmoja anayeishi huko Houston,Texas,nchini Marekani anavyodai. Waumini wake wanazidi kuongezeka siku baada ya siku.Ile hadithi ya kufa,kufufuka na kisha kupaa mbinguni ya yule Mnazareti ni kama ngonjera kwa waumini hawa.Yesu wao yupo hai na anaishi,anadunda na kunywa mvinyo kwa raha zake.Some habari hii kwa undani hapa.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 6:29 PM | Permalink |


Maoni: 2


 • Tarehe: 8:16:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous ndesanjo

  Nilimuona huyu Yesu wa Texas akihojiwa. Nikaona na hizo zawadi anazopewa na waumini wake.
  Imani kitu hatari sana. Imani bila mantiki.

   
 • Tarehe: 12:19:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger ned

  Mhhhh!
  Kuna watu watasema chochote ku-squeez a buck or two:)

  Ned

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker