VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Wednesday, April 04, 2007
KUMBUKUMBU YA VITA


M
wanadamu amefanikiwa katika mengi.Ameweza hata kumpeleka mtu mwezini.Ameweza kuifanya dunia kuzidi kuonekana kama kijiji.Lakini mwanadamu ameshindwa vibaya katika kuipata amani.Vita vimetuzunguka kila kona.Mwanadamu haoni haya kushindwa kuipata amani.Ni kwanini?

Pichani ni mnara wa kumbukumbu ya vita ya kwanza ya dunia uliopo jijini Ottawa,makao makuu ya serikali ya Canada.Kwa bahati mbaya minara hii haijatukumbusha uchungu wa vita ili kuamsha ari ya kupatikana kwa amani bali imetufanya tuwe wapenzi wa vita na mauti zaidi.

Angalau leo hii raisi wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad ametoa msamaha kwa waingereza waliokuwa wamekamatwa katika maji ya Iran.Hivi ingekuwa wa-Iran ndio wamekamatwa huko Uingereza au Marekani unadhani ingekuwaje?
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 9:22 AM | Permalink |


Maoni: 7


 • Tarehe: 1:54:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Mjengwa

  Rais wa Iran ameonyesha uungwana mkubwa pamoja na ukweli kuwa Waingereza wale walifanya makosa.

   
 • Tarehe: 3:12:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  Kweli kabisa ingekuwa ni waingereza dunia nzima ingekiona cha mtema kuni.

   
 • Tarehe: 11:39:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger SIMON KITURURU

  Hivi vielezi vya kumbukumbu za vita mara nyingi hata jinsi yajengwavyo unaweza ukajikuta unawaza kujihusudu vita kuliko kuikwepa. Sipingi mashujaa wa vita wanavyoenziwa. Hata Tanzania nafikiri kuna watu wengi hawajaenziwa kutokana na vita. Lakini nahisi kuna kitu kinakosena katika hivi vielelezo ambacho kinatakiwa kustua watu kukumbuka maumivu na maovu ya vita.
  Wengine wanasema mnyama binadamu hanatofauti na wanyama wengine katika maswala haya ya vita. Lakini nafikiri binadamu kama asifiwavyo kwa akili anaweza kuepusha baadhi ya mambo.

   
 • Tarehe: 2:14:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger Patrick GK

  Nionavyo mimi amani inatushinda wanadamu kwa sababu tumetanguliza ubinafsi mno, kuanzia kwenye familia, ukoo, kabila na hata Taifa, kila mmoja anavutia kwake, sasa hapo kazi kweli kweli...

  Ingekuwa wao ndio wamekamatwa basi hapo vyombo vya habari (CNN, BBC na vingine lukuki) vingeshachangamkia tenda, runinga, redio, tovuti, habari ingekuwa hiyo hiyo tu, magwiji na "wataalam" mbalimbali wangehojiwa kutwa kuchwa kuhusu askari hao, kusuhu nchi ya Iran, kuhusu rais wao na matamshi yake ya kuifuta Israeli kwenye ramani, basi ili mradi tu, dunia nzima ingekinai kwa "habari" hizo...

   
 • Tarehe: 10:51:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  Ni nani kakwambia wamekamatwa wakiwa katika maji ya Iran? Nani mkweli kati ya Iran na Uingereza? Walio kamatwa leo hii wana kana kwamba walikuwa ndani ya Iran! Je nani wa kuamini? Je kusikiliza cnn,cbn,bbc ndio ukweli uliokuwapo ktk ground?Hakuna anaejua ukweli halisi tukijua wazi kwamba wote ni waongo wakubwa!(Uingereza na Iran).

  Obando.

   
 • Tarehe: 11:15:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger mwandani

  Kuna kamanda mmoja wa jeshi la uingereza Commodore Nick Lambert, katoa maoni hayo hapo chini juu ya mipaka ya maji na mzozo wa irani:

  How I know Blair faked Iran map

  http://www.dailymail.co.uk/pages/live/articles/news/newscomment.html?in_article_id=445896&in_page_id=1787&in_a_source=

  There is no agreed boundary in the Northern Gulf, either between Iran and Iraq or between Iraq and Kuwait. The Iran-Iraq border has been agreed inside the Shatt al-Arab waterway, because there it is also the land border. But that agreement does not extend beyond the low tide line of the coast.

  Even that very limited agreement is arguably no longer in force. Since it was reached in 1975, a war has been fought over it, and ten-year reviews - necessary because waters and sandbanks in this region move about dramatically - have never been carried out.

  But what about the map the Ministry of Defence produced on Tuesday, with territorial boundaries set out by a clear red line, and the co-ordinates of the incident marked in relation to it?

  I have news for you. Those boundaries are fake. They were drawn up by the MoD. They are not agreed or recognised by any international authority.

  To put it at its most charitable, they are a potential boundary. It is accepted practice, where no boundary exists, to work by a rule-of-thumb idea of where a boundary, based on a median line between the two coasts, might be.
  But to elevate that to a hard and fast boundary, and then base a major international incident on being a few hundred yards one side or the other, is out of order.

  Negotiating a maritime boundary is horribly complicated. To set a median line you agree a series of triangulation points on both coastlines and do a geometric triangulation exercise to find a line running out from the coast.
  Of course, both sides will argue about which triangulation points on the coast to use. You are allowed, for example, to draw a line across a bay entrance and use that as the coast, but there is plenty of room for the other side to argue over where that line is drawn.

  That is only the start. For territorial seas you start at the low tide mark and uninhabited rocks and sandbanks count.
  There is huge room for argument - ownership of a useless sandbank is not necessarily a settled thing. Then it really gets complex. What if the sandbank appears only at low tide or moves? In this area of the Gulf, sands shift endlessly.

  It is, in short, impossible to say where a real, negotiated or adjudicated Iran-Iraq boundary might eventually lie. It is also why the instinct of both the Foreign Office and MoD was to play this quietly and negotiate our people back.
  But the No10 spin doctors stepped in, seeing a propaganda opportunity to portray Blair as fighting evil Iranians.
  Navy and Foreign Office experts were horrified at the notion of publishing that map.

  In doing so we entrenched Blair's ridiculous boast that our 15 Navy personnel were definitely in Iraqi territorial seas, and claimed the right to dictate Iran's boundary.

  It's not surprising Iraq backed British claims - the map is favourable to them. But it makes compromise on the captives very difficult.

  Of course, the Iranians equally cannot say unilaterally that these are their territorial waters, and act as if they owned them.

   
 • Tarehe: 11:46:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger MTANZANIA.

  Jeff!
  Hili suala la hawa wanajeshi ndani yake ziliingizwa propaganda za kisiasa. Naona Raisi wa Iran kafanya jambo la busara na kimsingi maana kaepusha mambo mengi mabaya.

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker