VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Thursday, May 24, 2007
NIMEUPENDA UANDISHI HUU
Siku zote tunajua kwamba nchi yetu inatafunwa na wachache wanaojiita "wajanja".Wengi wetu hatuwezi kusema kwamba eti hatujui wakati kila dalili zipo wazi na wanaoitafuna hujitapa hata wakiwa baa, wakiwa kwenye simu za viganjani hata kwenye daladala.Wanaokula nao wanataka pia kuonekana na wao ni watu wa daraja fulani.Kwa hawa nao tambo ni zile zile...Chukua Chako Mapema.

Tunachokuwa hatukijui na ambacho vyombo vyetu vya habari vinakuwa "bubu" kutuambia ni jinsi gani nchi inaliwa na nani hasa anahusika,akitumia vipi madaraka yake. Hakuna jambo zuri kama kumjua adui yako,silaha alizonazo,mafunzo aliyonayo, mbinu anazozitumia nk.Hawa ndio wale wanaotaka tuamini kwamba "tupo pamoja" na kwamba umasikini wa nchi yetu ni "mipango ya mungu" na hakuna tunaloweza kulifanya. Mipango ya mungu haina makosa!

Mwandishi mmoja wa gazeti la ThisDay katika toleo lake la leo Alhamisi tarehe 24,2007 ameonyesha njia inayoweza kutumika katika 'kuwatambua". Pengine umeshamsoma kwani habari hii imetapakaa kote mtandaoni hivi leo.Nilichotaka kusema ni kwamba nimependa uandishi huu.Tuendelee,tutawajua.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 5:38 PM | Permalink |


Maoni: 3


 • Tarehe: 10:56:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous ndesanjo

  Jeff, nimeshindwa kuipata hii habari. Kiungo kinaponipeleka siioni habari yenyewe. Msaada kidogo. Nataka kuisoma.

   
 • Tarehe: 7:06:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger ngono

  Hapo na kusupport sana , hata mimi nasupport sana hiyo point.

   
 • Tarehe: 11:02:00 AM, Mtoa Maoni:- Anonymous Jeff Msangi

  Ndesanjo,
  Naomba nipe muda nijaribu kukitafuta tena kile kiungo.Hata mimi kimenipotea.Haya ndio matatizo ya vyombo vyetu vya habari kuhusiana na jinsi wanavyotumia tekinolojia.

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker