Nimeona unapenda ile sinema ya YombaYomba. Na mimi naipenda pia. Je, inapatikana wapi? Kuna videoa au DVD. Nacho kumbuka ni zile reels za Tanzania Film Company na huenda zimekwisha oza.
Haya mambo ya kupewa adhabu bila kesi wala mashauri, mambo ya kutishana na kuogopana sijui yatakwishaje...
Kwa vyovyote vile askari hana haki ya kumgaragaza raia kwenye matope au kumrusha kichura raia kama inavyoonekana hapo kwenye hiyo filamu.
Lakini kitu kimoja ambacho nimeshindwa kuelewa - ambacho filamu hii haikuleza - ni mazingira gani yaliyopelekea askari wale kutangaza dharura kama vile.
Chemi, Sinema ya YombaYomba niliiona miaka mingi sana iliyopita lakini imebakia kuwa mojawapo ya sinema nilizowahi kuzipenda sana.Sijui cd/dvd zake zinapatikana wapi na wala kama zipo.Nitajaribu kuuliza zaidi kwa sababu ningependa sana kuwa na copy.
Mwandani, hiyo ilikuwa ni Zanzibar wakati wa uchaguzi ulee uliokuwa na vurugu kubwa.Kwa namna yoyote ile,hakuna justification ya hiki wanachokifanya ffu katika video hii.Lakini kama ujuavyo,aliye juu siku hizi,ni vyema kumfuata huko huko.
Mh! Huo pia ni upande wa pili wa sarafu!
ReplyDeleteJeff, this is off topic.
ReplyDeleteNimeona unapenda ile sinema ya YombaYomba. Na mimi naipenda pia. Je, inapatikana wapi? Kuna videoa au DVD. Nacho kumbuka ni zile reels za Tanzania Film Company na huenda zimekwisha oza.
Haya mambo ya kupewa adhabu bila kesi wala mashauri, mambo ya kutishana na kuogopana sijui yatakwishaje...
ReplyDeleteKwa vyovyote vile askari hana haki ya kumgaragaza raia kwenye matope au kumrusha kichura raia kama inavyoonekana hapo kwenye hiyo filamu.
Lakini kitu kimoja ambacho nimeshindwa kuelewa - ambacho filamu hii haikuleza - ni mazingira gani yaliyopelekea askari wale kutangaza dharura kama vile.
Chemi,
ReplyDeleteSinema ya YombaYomba niliiona miaka mingi sana iliyopita lakini imebakia kuwa mojawapo ya sinema nilizowahi kuzipenda sana.Sijui cd/dvd zake zinapatikana wapi na wala kama zipo.Nitajaribu kuuliza zaidi kwa sababu ningependa sana kuwa na copy.
Mwandani, hiyo ilikuwa ni Zanzibar wakati wa uchaguzi ulee uliokuwa na vurugu kubwa.Kwa namna yoyote ile,hakuna justification ya hiki wanachokifanya ffu katika video hii.Lakini kama ujuavyo,aliye juu siku hizi,ni vyema kumfuata huko huko.
Ndio maana raia kule Pemba walipopata nafasi walimchinja yule Polisi.Uonevu kama huo hauvumiliki hata kidogo.
ReplyDelete