VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Thursday, July 26, 2007
AFROFEST NA FESTIVAL
Majira ya joto bado hayajaisha,matamasha ndio kwanza yanazidi kupamba moto hapa Toronto au Canada kwa ujumla. Jambo moja ambalo marafiki zangu walionitembelea wakati wa AfroFest na hivi majuzi Festival Bana y'Afrique wamekuwa hawaishi kulizungumzia ni jinsi Toronto ilivyo multicultural. Yaani hapa kila mtu yupo,mataifa yote ya ulimwengu utayakuta hapa.Wote wanaishi kwa amani (ingawa ubaguzi wa kimtindo upo). Mjumuiko huu utauona vizuri katika matamasha kama haya.Utaona mzungu akikatika na ngoma za kiafrika au midundo ya "vunja mifupa".Usishangae pia kumuona mzungu akipiga tumba za kwetu kama unavyoona katika mojawapo ya picha. Hizi hapa ni baadhi ya picha kutoka katika matamasha hayo.Orodha ya wasanii waliokuwepo Festival Bana y'Afrique ni hii hapa. Waliokuwepo AfroFest hii hapa.


Kutoka Festival Bana y'Afrique
Kutoka AfroFest
Kutoka AfroFest
Kutoka Festival Bana y'Afrique
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 6:15 PM | Permalink |


Maoni: 3


 • Tarehe: 5:55:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

  kaka usishangae. ujumbe huo wa chini si masikhara. namba yangu waijua tuma sms ama hiyo email ya yahoo. hahaha

  NDUGU!

  KUNA MTU AMBAYE SIMJUI KAIBA ADDRESS YANGU YA ISSAMICHUZI@GMAIL NA ANAANDIKIA WATU UJUMBE AKIJIFANYA NI MIMI KUOMNBA PESA. NAOMBA ACHANA NAYE NI TAPELO NA ANATAKA KUKUIBIA. TOKA SASA USITUMIE TENA SSAMICHUZI@GMAIL.COM KWANI IKO MIKONONI MWA TAPELI. UKIPATA UJUMBE HUU TAFADHALI MFAHAMISHE NA MWINGINE. TUMIA EMAIL HII YA issamichuzi@yahoo.com TU NA SI GMAL AMA NIPIGIE KWA SIMU HIYO CHINI


  MICHU

  cELL +255 754 271 266

  NDUGU!

  I AM WRITING THIS NOTE TO INFORM AND WARN YOU AGAINST MESSAGES FROM ISSAMICHUZI@GMAIL THAT I WAS USING UNTIL THIS EVENING WHEN SOMEONE HACKED IT AND IS NOW POSING AS ME TO SOLICIT FUNDS OR SEND CRAZY MESSAGES PRETENDING THEY ARE FROM ME. pLEASE BE INFORMED ISSAMICHUZI@GMAIL.COM HAS BEEN HACKED AND THEREFORE SPAM/IGNORE ALL MESSAGES. I WILL NOW BE USING THIS EMAIL ADDRESS UNTIL FURTHER NOTICE. REMEMBER iSSAMICHUZI@GMAIL.COM HAS BEEN HACKED, INFORM ALL OTHERS ABOUT THIS AND INFORM ALL THAT YOU KNOW ABOUT THIS. DONT EVER USE MY GMAIL ADDRESS AGAIN JUST USE THIS issamichuzi@yahoo.com EMAIL OR CALL ME THRU THE NUMBER BELOW


  MICHU

  CELL +255 754 271 266

  jamaa wameniweza kweli!

   
 • Tarehe: 8:17:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger SIMON KITURURU

  @Jeff: Naona mafestivo yalikuwa baabu kubwa.
  @Michu : Pole sana!

   
 • Tarehe: 12:12:00 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous ndesanjo

  Majina ya wasanii hao kwenye picha au vikundi vyao na walikotokea tunaweza kupata?

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker