VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Monday, July 16, 2007
WANASIKIA?
Alipojitokeza mbele ya umati wa vyombo vya habari hivi karibuni kuwapigisha story waandishi,gavana wa benki kuu Tanzania,Daudi Balali,alikuwa amejawa na tabasamu.Kwanini asiwe na tabasamu?Kwanza aliruhusu vyombo vya habari alivyovitaka yeye,pili kwa jinsi mambo yanavyokwenda alishajua au anajua nini kitatokea,hata siku laki moja zijazo.Anajua hili litapita,kama yalivyowahi kupita mengine mazito.

Baada ya kusoma kwenye vyombo vya habari yaliyojiri kwenye press conference ile,nilijisemea moyoni mwangu,yametimia. Nisemeje tena? Ulishawahi kusikia serikali yetu ikasikiliza?

Pamoja na hayo,Ansbert Ngurumo amenisaidia kuulinda moyo wangu uliokuwa unakaribia kupasuka kwa kihoro na hasira. Ngurumo amefanya majumuisho ya mengi niliyokuwa nayawaza na kuwazua. Msome hapa.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 9:21 AM | Permalink |


Maoni: 1


  • Tarehe: 1:26:00 AM, Mtoa Maoni:- Blogger SIMON KITURURU

    Hawa jamaa si walishatutangazia kuwa hawasikilizi wala kujadili yaliyoko magazetini?Lakini alichoandika Ansbert wakikipuuzia , ipo siku watastukia wanadakwa tu.Sasa hivi wanalindana na wanajua hakuna litakalo wapata.Lakini kuna leo na kesho

     
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker