Ukidhani kwamba ni sisi tu wanablog wa ki-Tanzania ndio tunashikia bango kuundwa kwa vyama au jumuiya ili tuwe na mienendo na maadili yanayoeleweka zaidi,utakuwa unakosea. Kuna bloggers ambao wanataka kuwa na malengo,pengine makubwa zaidi na zaidi.Wasome hapa.