Hivi ninavyoandika, wenzetu watatu, Ndesanjo Macha, Bob Sankofa na Ansbert Ngurumo wapo kule Grahamstown, Afrika Kusini wakihudhuria mkutano nilioutaja hapo juu kwenye kichwa cha habari. Katika pita pita yangu mtandaoni hivi leo nimekutana na hiki kijipande cha ufunguzi ambapo Ndesanjo anasisitiza juu ya mambo mawili matatu..muhimu sana ni pale alipokumbusha juu ya uhuru wa kuandika ninachotaka..kama hivi.Mtizame hapo chini
Samahani natoka nje ya topiki.Temelea blogu ya JUMUWATA kuchangia, kukemea, kuondoa, kujenga muelekeo wa JUMUWATA.Dondoo za muelekeo zimepandishwa ukurasani:http://www.blogutanzania.blogspot.com/