Friday, February 06, 2009
UNA WAZO ZURI?WAAMBIE WENZAKO!
Kila siku mimi hupenda kupitia tovuti mbalimbali.Huwa napitia takribani tovuti mia mbili kila siku.Lakini ninavyozipitia mimi ni kwa kutumia huduma ya bloglines.Kama tovuti ina kitu kipya basi jamaa wa bloglines hunishtua ili niicheki.Kama hakuna kipya basi naachana nayo kwa siku hiyo au saa hilo.
Ninapopitia tovuti mbalimbali huwa napata mawazo,mengine mazuri na mengine mabaya.Bahati nzuri ni kwamba chaguo huwa siku zote linabakia kwangu.Zile zenye mawazo mabaya kama vile ya kibaguzi nk huwa nachagua kuachana nazo.
Lakini pia huwa napitia tovuti zenye mawazo mazuri sana.Wakati mwingine huwa natamani nimwambie kila mtu kuhusu wazo zuri nililolisoma au lililonijia baada ya kusoma au kuona kitu fulani iwe ni mtaani au kwenye luninga.Labda ndio maana napenda misheni za habari na mawasiliano.Kimsingi ni kubadilishana mawazo.
Mnamo mwaka 2000,jamaa mmoja anayeitwa David Owen alianzisha mtandao unaokuwezesha wewe,mimi na yule kuweka mtandaoni mawazo yoyote mazuri ambayo tunayo,tumekuwa nayo siku zote au ambayo ndio kwanza tumeyagundua baada ya maongezi na babu na bibi pale kijijini ulipowatembelea.Tovuti yake aliita idea-a-day.Unaweza kuitembelea kwa kubonyeza hapa.Ukishafanya hivyo jiunge ili uweze kupata wazo au mawazo mapya kila siku kutoka kwa watu wengine duniani.Kumbuka kila kitu kilichowahi kufanywa au kinachotarajiwa kufanywa siku za mbeleni kilianzia kwenye "wazo".
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 8:06 PM


|
Permalink |
-
Ni sawa kabisaaa...!Kila kitu kilianzia kwenye wazo!Kiifupi david alitulia!
-
Jeff,
Yani unajua nasikia faraja sana nikiona kumbe viajana wangu sasa wamefunguka sasa kujadili matatizo na kutoa maoni yakusaidia kutatua matatizo hususani yanazozikabili jamii zetu.
Big up!...Ingawa upo ughaibuni nina imani tunaitaji maoni ili tulete positive future kwa manufaa ya watanzania wote.
-
-
Nina hamu na harakati za Jeff.
-
-
thanks for nice sharing and good information
-
thank you sir for the news you give this. really very good indeed. and I want to add a little bit of information specifically for adult men and women.
-
Big up!.good your blog im ok. thank
-
nice blog and good information
-
-
PROMO DELIMA
poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya
Bonus yang kami sediakan :
* TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
* Bonus referal sebesar 10%
Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
Come join and be a winer with us !!
Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: Facebook
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___http://www.delimapoker.com/?ref=19860605
-
-
-
-
Nicely presented information in this post, I prefer to read this kind of stuff.
918kiss malaysia trusted company The quality of content is fine and the conclusion is good. Thanks for the post.
-
-
-
Microsoft Office 365 Installation is an important part of complete package that's employed by professionals and non-professionals. There is a simple activation procedure for activation by inputting thought credentials and Office Setup product key.
www.norton.com/setup
Office Setup
www.webroot.com/safe
-
-
-
Go ketogenic Black pepper : a real natural fat burner among our rodent friends ( source ), it will take a few more studies to demonstrate its interest in humans.
https://goketoganic.com/
-
Mcafee antivirus gives better security protection for every device, from smartphones to big servers. It also offers a free trial to try the application then go with premium to utilize proper McAfee antivirus program. mcafee.com/activate gives high-end protection against malware and viruses, leading you and your device in a compromising situation.
-
Canon printer is a very reputed brand for printing technology, and it fulfills all printing needs for a home to high office requirements. canon.com/ijsetup plays an essential role in the canon printer setup. You can also go for ij.start.canon for the download and installation wizard.
Ni sawa kabisaaa...!Kila kitu kilianzia kwenye wazo!Kiifupi david alitulia!