HOTUBA YA RAISI KIKWETE HII HAPA
Najua hivi sasa tafakuri ni nyingi vichwani mwa wengi hususani wanablogu wenzangu.Tafakuri hizo zinatokana na kutangazwa kwa baraza la Mawaziri la Raisi Kikwete.Mimi pia nimo katika lindo la mawazo juu ya hili.Lakini wakati hayo yote yanaendelea labda tusome kwa pamoja hotuba ya kwanza rasmi ya Raisi Kikwete kama alivyohutubia bunge.Wengi tuliipenda,sasa swali linakuja kwa baraza hili la mawaziri,je tutafika?Isome hotuba yote hapa.
Nashukuru utandawazi, kikwete kasema juzi leo yote yapo hapa.Shukran
ReplyDeleteUnajua wanasiasa wametuharibu fikra. Hatuaminiani hata kidogo. Nataka kuiamini hii hotuba lakini naogopa. Sijui kwa nini naona kama vile "ah si mwanasiasa tu huyu, anasema tu siku mbili atasahau" mambo yatakuwa vile vile. Namuombea neema afanye kwel.
ReplyDeletemwandani,
ReplyDeleteuna mawazo kama yangu. ndio maana nilitoa rai kuwa wanaglobu tuisome tuichambue halafu tuelezee yote yawezekanayo pande zite 2 za shilingi.
cheers
tunashukuru sana kwa hotuba hii. lakini huyu bwana ni charismatic. alikuwa anachombeza pia kutia misisitizo ambavyo havijaandikwa!
ReplyDeletecheers