Thursday, March 23, 2006

KIDUKA HIKI CHA NANI?

Nimepita mitaa fulani nikakuta kiduka hiki. Nani mmiliki wake? Chaonyesha kuwa na bidhaa nyingi kuliko kile cha mdosi pale mtaani kwetu. Kitembelee hapa

8 comments:

  1. Hiyo ni "Mall" sio kiduka.Yatosha.

    ReplyDelete
  2. Anonymous9:32:00 AM

    Kilianza kidogo kidogo kama kiduka, sasa kweli inaelekea kua "Mall".. Mimi ndio mmiliki ya tovuti ya Kiduka.com

    Ningependa kupata maoni yenu.

    Asanteni

    ReplyDelete
  3. Du hiki siyo kiduka bali ni jiduka kama wanavyosema waswahili wa Tanga maana wapata kila kitu ati katika hilo duka, sijui amelifungua lini na je mbona bidhaa nyingi halafu wanunuzi hatujui.

    Atueleze tupate kuwa tunanunua bidhaa maana mali iliyopo ndani hata wale majambazi wa hapa kwetu wakifika watchekelea kwa furaha.

    Kweli bwana Luca saidi duka lako linavutia nasi twataka kununua bidhaa ati!

    ReplyDelete
  4. Luca,
    Ahsante kwa kujitokeza.Tovuti yako ni nzuri kwa kweli.E-mail yangu uliipata?

    ReplyDelete
  5. We acha nimekula mangoma katika kiduka hiki, yaani sijui nikiite kimall kabisa. Jeff umekivumbua wapi, kila siku utamu unaongezeka.

    ReplyDelete
  6. Anonymous9:26:00 PM

    Hya bwana luca hilo ni duka hasa jitahidi kwani mi naanza kununua bidhaa hapo,we jeff sijui umelipatia wapi hilo duka,langu ni www.fglukwaro.blogspot.com

    ReplyDelete
  7. Anonymous11:42:00 PM

    Jeff, pongezi kwa kutupeleka kwenye kiduka hiki. Ngoja tukitazame vizuri tuona kama wanauza magadi.

    ReplyDelete
  8. Hiki kiduka bab kubwa, kuna kila kitu, lakini angalia kisiuze bangi.

    ReplyDelete