YESTERDAY HAS GONE FOREVER!TOMMOROW WILL NEVER ARRIVE,BUT TODAY IS YESTERDAY'S TOMMOROW WITHIN YOUR REACH.WHAT ARE YOU DOING WITH IT?
Thursday, March 23, 2006
KIDUKA HIKI CHA NANI?
Nimepita mitaa fulani nikakuta kiduka hiki. Nani mmiliki wake? Chaonyesha kuwa na bidhaa nyingi kuliko kile cha mdosi pale mtaani kwetu. Kitembelee hapa
Du hiki siyo kiduka bali ni jiduka kama wanavyosema waswahili wa Tanga maana wapata kila kitu ati katika hilo duka, sijui amelifungua lini na je mbona bidhaa nyingi halafu wanunuzi hatujui.
Atueleze tupate kuwa tunanunua bidhaa maana mali iliyopo ndani hata wale majambazi wa hapa kwetu wakifika watchekelea kwa furaha.
Hya bwana luca hilo ni duka hasa jitahidi kwani mi naanza kununua bidhaa hapo,we jeff sijui umelipatia wapi hilo duka,langu ni www.fglukwaro.blogspot.com
Hiyo ni "Mall" sio kiduka.Yatosha.
ReplyDeleteKilianza kidogo kidogo kama kiduka, sasa kweli inaelekea kua "Mall".. Mimi ndio mmiliki ya tovuti ya Kiduka.com
ReplyDeleteNingependa kupata maoni yenu.
Asanteni
Du hiki siyo kiduka bali ni jiduka kama wanavyosema waswahili wa Tanga maana wapata kila kitu ati katika hilo duka, sijui amelifungua lini na je mbona bidhaa nyingi halafu wanunuzi hatujui.
ReplyDeleteAtueleze tupate kuwa tunanunua bidhaa maana mali iliyopo ndani hata wale majambazi wa hapa kwetu wakifika watchekelea kwa furaha.
Kweli bwana Luca saidi duka lako linavutia nasi twataka kununua bidhaa ati!
Luca,
ReplyDeleteAhsante kwa kujitokeza.Tovuti yako ni nzuri kwa kweli.E-mail yangu uliipata?
We acha nimekula mangoma katika kiduka hiki, yaani sijui nikiite kimall kabisa. Jeff umekivumbua wapi, kila siku utamu unaongezeka.
ReplyDeleteHya bwana luca hilo ni duka hasa jitahidi kwani mi naanza kununua bidhaa hapo,we jeff sijui umelipatia wapi hilo duka,langu ni www.fglukwaro.blogspot.com
ReplyDeleteJeff, pongezi kwa kutupeleka kwenye kiduka hiki. Ngoja tukitazame vizuri tuona kama wanauza magadi.
ReplyDeleteHiki kiduka bab kubwa, kuna kila kitu, lakini angalia kisiuze bangi.
ReplyDelete